Breakings news FILEMMONI NDESMBURO AFARIKI DUNIA

Katibu wa Chadema, Mkoa wa Kilimanjaro, Basil Lema amethibitisha kifo hicho na kueleza kuwa wataendelea kutoa taarifa zaidi juu ya kifo cha mwanasiasa huyo mkongwe.
Taarifa zaidi kuhusu kifo cha Ndesamburo zitaendelea kukujia.


Hakuna maoni: