Home
Unlabelled
BREAKING NEWS:Askofu Gwajima aachiwa huru na mahakama.
BREAKING NEWS:Askofu Gwajima aachiwa huru na mahakama.
Wednesday, April 12, 2017
BREAKING NEWS: Askofu Gwajima aachiwa huru na Mahakama.
Mahakama ya Hakimu Mkaazi Kisutu Jijini Dar es salaam, imeamuchia huru Mchungaji wa kanisa LA Ufufuo na Uzima Askofu Josephat Gwajima kufuatia kosa la Kutoa Lugha ya Matusi Dhidi ya Polycap Muadhama Kardinal Pengo mnamo mwaka 2015.
Chini ya chini ya Hakimu mfawidhi Cyprian Mkeha Mahakama imeamuchia Askofu Gwajima kwa mujibu wa kifungu cha sheria ya 225 ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai.
BREAKING NEWS:Askofu Gwajima aachiwa huru na mahakama.
Reviewed by ilalayetu blog spot .com
on
00:20
Rating: 5
Hakuna maoni: