Header Ads

Header Ads

BAADHI YA WANANCHI WALIOPO MASWA MJINI WAKI LALAMIKA KUHUSU SHIDA YA MAJI.

Wananchi waliopo mjini Maswa ni kati ya watu wanaosumbuka zaidi kwa swala hili la maji.
 Image may contain: 1 person, child and outdoor



Samwel Mwanga ni mmoja ya wadau wakubwa sana wa maendeleo mjini Maswa ambae amepita katika mitaa mbalimbali ya Maswa mjini na kukuta watu wakiwa ni wengi kwenye vyanzo vya maji wakitafuta maji.

Kilio kikubwa cha wananchi wanaiomba serikali kutatua kero yao mapema iwezekanavyo. 



Image may contain: plant and outdoormpenzi msomaji wa blog hii tazama video fupi hapo chini,kuhusu tatizo la maji Mjini maswa.


Maoni 2 :

  1. Safi kabisa.This is great.

    JibuFuta
  2. Blogu ambazo zinachangia katika uendelezaji wa Kiswahili ni muhimu sana na mara nyingi huchangia katika uendelezaji wa lugha ya Kiswahili. Ningependa sana idara yetu iendelee kushirikiana na baadhi ya blogu hizi. Tuwasiliane kupitia kwa (http:/kiswahili.uonbi.ac.ke)

    JibuFuta