Home
Unlabelled
Ray c Amtamani Ray Vanny.
Ray c Amtamani Ray Vanny.
Msanii wa muziki wa bongo fleva Ray C amefunguka na kusema anamtamani sana msanii kutoka katika label ya WCB Wasafi Ray Vanny na amekuwa akipenda sana kazi zake na kuzisikiliza, hivyo anatamani kufanya naye kazi hata moja tu.
"Nampenda sana yule mtoto Ray Vanny, anaadika sana mashairi, nasikia anaandikia wasanii wengi nyimbo hata mimi natamani kufanya naye kazi" alisema Ray C
Mbali na hilo Ray C alimzungumzia Diamond Platnumz kama msanii ambaye amefanya mapinduzi sana na kuupeleka muziki wetu wa bongo fleva mbali zaidi
"Kiukweli mimi nam respect sana Diamond Platnumz amefanya jambo kubwa katika muziki wetu, kama hutaki kuelewa basi tu hutaki kuelewa, japo sisi tulikuwa tunasikika sijui Kenya wapi lakini dogo amepita sehemu zingine ambazo sisi hatukufika, ambaye haelewi mchango wa Diamond katika muziki huu sijui hata ana maana gani" alihoji Ra
Ray c Amtamani Ray Vanny.
Reviewed by ilalayetu blog spot .com
on
06:37
Rating: 5
Hakuna maoni: